Shule zilizofutiwa matokeo kwa udanganyifu kuchunguzwa

Shule zilizofutiwa matokeo kwa udanganyifu kuchunguzwa

Waziri wa Elimu, Profesa Adolf Mkenda, ametoa agizo hilo kwa Kamishna wa Elimu alipokutana na Wazazi na walezi wa Wanafunzi waliofutiwa matokeo ya Mtihani wa Shule ya Sekondari Thaqaafa

Shule hizo ni Cornelius (Dar es Salaam), Thaqaafa  (Mwanza), Mnemonic (Zanzibar) na Twibhoki (Mara) zilizodaiwa kufanya udanganyifu katika Mtihani wa kidato cha nne Mwaka 2022

Aidha amesema "Kuhusu maombi ya Wanafunzi kurudia Mtihani tutawasiliana nanyi baada ya kulifanyia kazi kwani ni suala la kibajeti pia."

 






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags