Mwanamuziki wa Hip-Hop nchini #RosaRee ametajwa kwenye orodha ya #Grammy ambayo imewaangazia wasanii wakike10 wa Afro Hip Hop ambao wanapaswa kutiliwa maanani kutokana na ubor...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy amewatolea povu baadhi ya watu wanaosambaza na kuinanga picha yake ya zamani akiwa amenyoa ndevu huku akiwataka watu hao kuj...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Rema (23) ameripotiwa kuwa na mpango wa kuanzisha na kujenga chuo cha muziki Barani Africa.
Chuo hicho ambacho kinadaiwa kugaharimu N20...
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
Gavana wa mji wa Florida, nchini Marekani #RonDeSantis ametia saini mswaada wa sheria ya mitandao ya kijamii nchini humo jana Jumatatu kupiga marufuku watoto walio chini ya um...
Mwanamuziki kwa wa Bongo Fleva nchini Harmonize amedai kuwa anataka kuionesha jamii kipaji chake kingine katika upande wa upiganaji (Ndondi).
Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
Baada ya vyombo vya habari mbalimbali nchini Marekani kudai kuwa mwanamuziki Diddy amekimbilia katika visiwa vya Caribbean, baada ya kuonekana katika uwanja wa ndege wa Opa-Lo...