Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
Rais wa Shirikisho la soka Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o, aitwa na shirikisho la soka Afrika (CAF) April 17 kujieleza kuhusiana na tuhuma za upangaji wa matokeo na u...
Baada ya kuanza vibaya ‘mechi’ ya kwanza ya kundi F ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco, ‘timu’ ya taifa...
Baada ya ‘klabu’ ya #NewcastleUnited kupokea kipigo cha bao 3-1 dhidi ya #NottinghamForest, mchezaji wa zamani wa Newcastle #AlanShearer ameishauri ‘klabu&rs...
Baada ya kusambaa kwa taarifa kuwa mchezaji #BrunoFernandes huenda akatimkia nchini #SaudiArabia mwisho wa msimu, staa huyo amekanusha na kusema anajisikia furaha kuendelea ku...
Baada ya kuifunga ‘klabu’ ya Simba mabao 5-1, ‘timu’ ya Yanga imeamua kuweka bango karibu na uwanja wanaofanyia mazoezi Simba.
Bango hilo lenye matokeo...
Zamaradi Mketema aendelea kuonesha furaha aliyonayo baada ya mchezo wa jana Simba kutandikwa bao tano na Yanga, kutokana na furaha hiyo Zamaradi ametoa shukrani kwa Rais wa Ya...
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji Geita, #ZaharaMichuzi amemtaka ‘kocha’ mkuu wa ‘timu’ ya #GeitaGold, #HemediSuleiman, kufika ofisini kwake kw...
Na Asha CharlesWizara ya elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa idhini ya kurudia mtihani kwa wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo yao ya kidato cha nne kwa mwaka 2022 baada y...
Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema amekuwa akilazimishwa kuondoka nchini humo. Licha ya k...
Vyama vya Upinzani vya PDP na Labor Party Nchini Nigeria vimesusia mchakato wa Utangazaji Matokeo kwa madai kuwa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) imeonesha kuwepo kwa uchakachuaji...