Wabunge wa jimbo la Tennessee nchini Marekani wamepitisha mswada wa kuwaruhusu walimu na wafanyikazi wengine wa shule kubeba bunduki shuleni siku ya Jumanne.
Imeelezwa kuwa wa...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani #KanyeWest amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mfanyakazi wake wa zamani katika shule yake ya ‘Donda’ iliyopo Los Angeles...
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Rema (23) ameripotiwa kuwa na mpango wa kuanzisha na kujenga chuo cha muziki Barani Africa.
Chuo hicho ambacho kinadaiwa kugaharimu N20...
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
Kinda wa Tanzania, Harrith Chunga Misonge aliyepo Russia anakoshiriki mashindano ya Games of the Future amekutana na staa wa zamani wa Arsenal na timu ya taifa ya Russia, Andr...
Shule ya Southern Alamance iliyopo Carolina nchini Marekani, imelazimika kuondoa vioo vyote katika vyoo vya wanafunzi kwa lengo la kuwazuia ku-rekodi video za TikTok muda wa d...
Si jambo la kushangaza kama ukitembelea mataifa mbalimbali na kukuta magari ya kubebea wanafunzi (School Bus) yakawa na rangi ya kufanana, yaani rangi ya njano. Fahamu kuwa ra...
Mambo vipi, najua mko poa watu wangu wa Fashion kama kawaida tunakutana tena hapahapa katika magazine yetu ya Mwananchi Scoop kujuzana yanayojiri kwenye fashion.
Leo tumekusog...
Muigizaji kutoka nchini #Marekani, #DariusMcCrary amekamatwa na polisi na kuswekwa rumande kwa kushindwa kulipa ada ya mtoto wake shuleni.
Nyota huyo wa #FamilyMatters mwenye ...
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani #TravisScott ameweka wazi kuwa anataka kurudi shule.
Kufuatia mahojiano yake na #GQ, #Travis ameeleza kuwa alitumia njia za mkato ku...
Baada ya kusambaa kipande cha video kinachowaonesha wanafunzi wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii #Zuchu 'Honey' wilayani Tunduma, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolo...
Simu zapigwa marufuku kwa wanafunzi katika shule za serikali nchini Australia wakati wa saa za shule au wakiwa darasani.
Hiyo ni kutokana na kuepusha usumbufu darasani wakati ...
Waziri wa Elimu nchini Ufaransa, Gabriel Attal jana Ijumaa Oktoba 6, 2023, ametangaza kuwa nchi hiyo imelazimika kufunga shule saba ambazo kwa ujumla hupokea wanafunzi 1,500 b...