19
Mambo ya kuzingatia katika uvaaji wa suti
Alooooh!!! Its Friday kama kawaida watu wangu karibu sana kwenye ukurasa wa fashion bila shaka umekua mfuatiliaji mzuri sana ukiwa unachukua madini kadha wa kadha kuhakikisha ...
18
BATA BATANI: Dubai dessert safari
Alright my traveling and adventure peeps. Ni wiki nyingine tena tunakutana hapa katika segment ya BATA BATANI. Basi bwana, wiki hii nipo Dessert Safari ya Dubai, UAE. A couple...
18
Wahukumiwa kwa kutungua Ndege
Mahakama nchini Uholanzi Novemba 11, 2022 iliwatia hatiani wanaume watatu bila kuwepo mahakamani kwa mauaji ya halaiki kwa jukumu lao katika kuangusha ndege ya shirika la ndeg...
18
Spika wa bunge Marekani ajiuzulu
Kutoka huko nchini Marekani ambapo Nancy Pelosi, ambaye ameongoza chama cha Democrats katika Baraza la Wawakilishi la Marekani (Congress) kwa takriban miongo miwili, ametangaz...
17
Myanmar kuwaachia huru wafungwa 6,000 wakiwemo raia wa kigeni
  Utawala wa kijeshi wa Myanmar umetangaza kuwa leo, utawaachia huru wafungwa wapatao 6,000 akiwemo balozi wa zamani wa Uingereza, mwandishi wa habari wa China na mshauri...
17
Bango la picha ya Ronaldo laondolewa uwanjani Old Trafford
Saa chache kabla ya mahojiano ya nyota wa Manchester United Cristiano Ronaldo na Piers Morgan kupeperushwa hewani, klabu hiyo imeondoa bango kubwa lenye picha ya ukutani ya mc...
17
Ruto akataa hoja ya kumuongezea muda Rais
Rais wa Kenya William Ruto amesema kuwa kinachotakiwa kwa sasa ni kuongeza nguvu kwenye kukamilisha miradi na ahadi alizoweka wakati akiwania Urais. Kauli hiyo imekuja baada ...
17
Mchungaji akamatwa kwa kumuombea mtoto wake hadi kufariki
Jeshi la Polisi huko Songwe linawashikilia Watu 3 ambao ni Mchungaji Julius Mwansimba (Baba mzazi wa marehemu) na Watoto wake, Elia na Emmanuel Mwansimba kufuatia kifo cha Ann...
16
Chadema kuanza mikutano ya hadhara Desemba 2022
Msimamo huo umetangazwa Wilayani Sengerema na Mjumbe wa Kamati Kuu, John Heche kwa maelezo kuwa suala hilo ni Haki yao Kikatiba Heche amesema “Ndani ya mwezi mmoja ujao...
16
Biden asema Trump aliiangusha Marekani wakati wa utawala wake
Rais wa Marekani Joe Biden, leo amejibu Tangazo la rais wa zamani wa taifa hilo Donald Trump kwamba atawania kiti cha urais mwaka 2024, akisema chama cha Republican kiliiangus...
16
Afisa mtendaji ahukumiwa jela miaka 2 kwa ubadhirifu
Kutoka Songwe Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Momba, imetoa adhabu kwa Lukas Alcado Chole na kumtaka kurejesha Tsh. Milioni 35.7 akimaliza kifungo. Amekutwa na hatia ya Ma...
18
Davido na Chioma wadaiwa kufunga ndoa
Hellow! Bwana weeee! Niaje mko pouwa watu wangu wa nguvu, kama kawaida weekend tunaimaliza kwa yale mastori makubwa yaliotrend kupitia mitandao ya kijamii, basi bwana, Kati ya...
16
Trump atangaza nia ya kuwania urais 2024
Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza nia yake ya kugombea tena Urais na kurudi Ikulu ya White House mnamo 2024. Trump alizindua nia yake hiyo - ya tatu ya urais...
15
Bill Gates awasili Kenya kwa ajili ya ziara yake
Bilionea mkubwa duniani na mfanyabiashara wa Marekani Bill Gates yuko nchini Kenya ambapo anatarajiwa kufanya mazungumzo na Wakenya kuhusiana na masuala mbalimbali.Mwanzilishi...

Latest Post