Ubakaji utambulike kuwa kosa la jinai kwa wanandoa

Ubakaji utambulike kuwa kosa la jinai kwa wanandoa

Chama cha Wanasheria Wanawake Tanzania (TAWLA) na Wanaharakati wa Masuala ya Kijinsia wamependekeza Marekebisho ya Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, Sura ya 20 ili iweze kumwajibisha Mwanandoa atakayemuingilia Mwenza wake bila ridhaa

Chama hicho kimesema kuwa pendekezo hilo linafuatia ongezeko la kesi zenye Sura tofauti za Ukatili zikiwemo zinazohusiana na malalamiko ya Wanawake kulazimishwa kufanya Tendo la Ndoa pamoja na Kuingiliwa Kinyume na Maumbile

Hata hivyo Sheria inatamka kwamba ni Kosa la Jinai kumlazimisha Mwanamke kufanya tendo la ndoa  bila idhini yake ambapo Wanaharakati wameshauri ubakaji utajwe na utambuliwe kwenye Sheria kuwa kosa la Jinai kwa Wanandoa






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags