Mwanajeshi mstaafu amshtaki Rais Ruto

Mwanajeshi mstaafu amshtaki Rais Ruto

Taarifa kutoka nchini Kenya ambapo Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais William Ruto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC)

Aidha Rukaria amedai Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla ya kutengua Uteuzi wake na hivyo anaiomba Mahakama isimamishe Uteuzi wa Mwenyekiti mpya na kumrejesha yeye

Afisa huyo wa Jeshi aliteuliwa na Rais wa Mstaafu Uhuru Kenyata Agosti 5, 2022 kwa Utumishi wa Miaka 3 zikibakia Siku 4 kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Nchi hiyo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags