Serikali imeondoa Muswada wa Bima ya Afya kwa wote kutokana na mashauriano yanayoendelea kati ya Bunge na Serikali. Hatua hiyo imefikiwa ikiwa tayari Muswada umesomwa kwa mara...
Chini ya Serikali ya Rais William Ruto, waendesha mashtaka wameondoa kesi kadhaa dhidi ya baadhi ya washirika wake kwa misingi ya kesi hizo kukosa ushahidi.Kuanzia Novemb...
Hellow! I hope mko good watu wangu wa nguvu, sasa leo najua utakuwa huna stress ukiwa unasoma habari hii kwasababu ni weekend kama mnavyoelewa watu wengi. Kwa mujibu wa tafiti...
Hali ya chango au tumbo kuunguruma wakati wa hedhi inaweza kumfanya mwanamke akakosa raha kabisa. Mwanamke anaweza kujihisi kama vile mwili wake umeongezeka uzito au kwamba tu...
Msanii maarufu wa muziki wa rap wa Marekani 50 Cent ametangaza kuwa anatengeneza msururu wa vipindi vya televisheni (series) kuhusu maisha ya mfungwa - Mnigeria na tapeli ...
Ikiwa ni wiki mbili tu tangu Elon Musk ainunue kampuni ya Twitter, wafanyakazi wa kampuni hiyo wanaendelea kuuona moto wa mtu huyo tajiri zaidi duniani.Katika barua pepe aliyo...
Machungwa yamejaa vitamini na madini, lakini je, yanaweza kuzuia homa? Tunaangazia kwa undani jinsi matunda haya yanaweza kuchangia ustawi wa afya yako.
Machungwa ni nini?
Chu...
Majaliwa Jackson, kijana aliyewezesha kuokolewa kwa watu 24 katika ajali ya ndege ya Precision Air katika Ziwa Victoria, iliotokea Novemba 6 mwaka huu, leo amefika Bungeni jij...
Rais Samia amepewa tuzo ya CARE Impact Award for Global Leadership iliyotolewa na Shirika lisilo la Kiserikali la Kimataifa la CARE, Tuzo hiyo imetolewa Jijini New York, Marek...
Mmiliki Mpya wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk bado anaendelea kuwajibu na kuwakera watumiaji wa mtandao huo ambao wanalalamika kuhusu mchakato wake wa kutaka kulipisha do...
Piniston Nzali (20) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam akidaiwa kuchapisha mtandaoni taarifa zenye kuharibu hadhi ya Rais Samia Suluhu na Rais m...
Mahindi hayo yanatarajiwa kuuzwa kwa bei ya Tsh. 830 kwa Kilo, kwa Wananchi katika Vijiji vya Wilaya ya Ikungi waliokumbwa na uhaba wa Chakula kutokana na kupata Mavuno kidogo...