Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said, amesema Mradi mkubwa unaoendelea wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili utapeleka huduma ya umeme katika vijiji 4,071.
Aidha amesema “Mungu akitujalia Vijiji vyote vya Tanzania Bara vitakuwa vimefikiwa na Huduma ya Umeme mwishoni mwa Mwaka huu (2023). Mradi huo unagharimu Tsh. Trilioni 1.2, hizo ni Fedha za Serikali, kuna mchango wa Benki ya Dunia na Umoja wa Jumuiya za Ulaya.”
Ebwana eeeh nakuachia wewe mdau unaweza kuchangia hoja hiyo kwa kudondosha comment yako hapo chini.
Leave a Reply