Ujumbe ambao ameandika aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwenda kwa mke wake Michelle Obama siku ya jana ya Valentine umewakosha watu wengi katika mitandao ya kijamii.Ob...
Mwigizaji wa Marekani Angelina Jolie alikiri kwamba alikua akivuta sigara pakiti mbili kwa siku kabla ya kuanza mazoezi ya kujiandaa kwa na filamu ya Tomb Raider. Wakati wa ma...
Ni wazi kuwa Barakah The Prince ni miongoni mwa wanamuziki waliojaliwa vipaji vikubwa hasa upande wa uandishi, sauti na melodi za kuvuti zilizofanya jina lake kuwa kubwa katik...
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) chini ya katibu mkuu Kedmon Mapana ameeleza kuwa wapo katika mchakato wa kufanya marekebisho kwenye kanuni zake.Marekebisho haya yanakuja baa...
Na Asma HamisBongo ukimtemea mate mtu kama sio ugomvi wa kurushiana maneno basi ngumi zitalika. Lakini nchini Ugiriki jambo hilo ni kawaida huku wakiliita baraka.Ugiriki wanaa...
Baada ya kusubiliwa kwa hamu orodha ya ngoma zilizopo kwenye albumu ya mwanamuziki Marioo, hatimaye orodha hiyo imeachiwa rasmi huku mwanamuziki wa Nigeria Patoranking akiwa n...
Na Peter Akaro
Miaka ya hivi karibu imekuwa siyo jambo geni kusikia nyimbo mpya za Bongofleva zikiwa na vionjo vya nyimbo za kitambo, hilo limekuwa likitoa nafasi kwa nyimbo h...
Ikiwa leo Oktoba 2, mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Naseeb Abdul 'Diamond' anasheherekea siku yake ya kuzaliwa akitimiza miaka 35, ndani ya miaka hiyo msanii huyo tayari ame...
Mwanamuziki maarufu kutoka Nigeria Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ amethibitisha kuwa kundi la P-Square limegawanyiuka kwa mara nyingine.Tudeboy amelithibitisha kusamba...
RHOBI CHACHANi nani atakayeibuka mshindi wa tuzo za Hollywood and African Prestigious Awards (HAPAWARDS)? Ni swali linalosubiriwa kujibiwa kwenye usiku wa kinyang'anyiro cha t...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
Msanii Tems amejipa maua yake kwa kudai kuwa mwanaume atakaye mchumbia au kuwa naye katika mahusiano basi atakuwa amepata ua adimu.
Mwanamuziki huyo aliyasema hayo wakati akio...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...