Ammar MasimbaRapa maarufu nchini Marekani kutokea jimbo la Georgia, Atalanta Jeffery Williams ambaye ni mmoja wa waanzilishi wa Lebo ya Muziki ya YSL ameruhusiwa kurudi nyumba...
Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
Na Aisha Lungato
Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau.
Waswahili wanas...
Imeripotiwa kuwa takibani watu 14 wamefariki dunia siku ya jana Jumatatu Mei 13, 2024 baada ya kuangukiwa na bango la matangazo kufuatiwa na mvua iliyonyesha jijini Mumbai nch...
Mabosi wa klabu ya #ManchesterCity wameanza kutafuta ‘kocha’ mwingine baada ya mkataba wa kocha’ #PepGuardiola kuelekea ukingoni klabuni hapo.
Awali iliripot...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Jason Derulo amkingia kifua mkali wa Hip-hop Diddy kwa kudai kuwa mwanamuziki huyo hana hatia.
Derulo ameyasema hayo wakati alipokuwa akipig...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Offset na mkewe Cardi B wamezua gumzo mitandaoni baada ya wawili hao kufuta urafiki kwenye mtandao wa Instagram.
Baadhi ya mashabiki ...
Raia mwenye asili ya Nigeria na Uingereza anayefahamika kwa jina la Idris Dayo Mustapha mwenye umri wa miaka 33 amekiri mahakamani kosa la udukuzi wa mitandaoni nchini Marekan...
Miaka ya hivi karibuni imetufundisha mengi kuwa siku hizi unasaidiwa sana na rafiki kuliko ndugu uliyezaliwa naye, hii ni kutokana na kutiliana vinyongo na kutopenda mafanikio...
Ripoti maalum kutoka Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza itafikiwa hivyo ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema, zaidi ya Watu Bilioni nne wataathirika. Aidh...
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said, amesema Mradi mkubwa unaoendelea wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili utapeleka huduma ya ...
Umoja wa Mataifa unakadiria kwamba idadi ya wakazi duniani itafikia bilioni nane kufikia Novemba 15 na itaendelea kukua ingawa kwa kasi ndogo na kwa tofauti ya kimaeneo, katik...
Katika zama hizi za maendeleo ya kidijitali, ni rahisi sana kufahamiana na watu wengi ambao, hata hivyo, wanaweza wasiwe marafiki wala kuwa na msaada kwako.
Unaweza, kwa mfano...