Kampuni ya Apple imeripotiwa kusitisha utengenezaji wa gari la umeme lililokuwa likitengenezwa kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita.Apple ilitoa taarifa hiyo siku ya jana Jumanne...
Wakati mvua zikinyesha Bongo baadhi ya wamiliki wa magari huacha majumbani kwao na kutumia usafiri wa umma kutokana na kuhofia magari yao kuharibika kufuatiwa na maji kujaa ba...
Taifa la Israel limekasirishwa na kauli ya mfanyabiashara Elon Musk kusaidia Gaza kurudisha mawasiliano, ni baada ya hivi karibuni mmliki huyo wa mtandao wa X kutoa ahadi ya k...
Ikiwa tatizo la umeme linaendelea kuwatesa baadhi ya wananchi katika maeneo mbalimbali, huku baadhi ya ‘mastaa’ wakilalamika kuhusiana na mgao huo.
Muigizaji wa fi...
Baada ya Shirika la Umeme nchini(TANESCO) kutoa taarifa ya kuwa hakutakuwa na umeme kwenye baadhi ya maeneo jiji Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakiwa wanalalamika kutokan...
Kutokana na serikali kushindwa kupeleka nishati ya umeme katika kijiji cha Uhambule wilaya ya Wanging'ombe mkoani Njombe Wenyekiti wa vitongoji 3 pamoja na wajumbe 7 wa Serika...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Blandina Fredi mkaazi wa kijiji cha Ilkrevi kata ya Olturoto, wilayani Arumeru mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni m...
Kampuni ya kutengeneza iPhone Foxconn inaweka dau kubwa kwenye magari yanayotumia umeme na kufikiri upya mahusiano kati ya Marekani na China.
Katika mahojiano maalum, mwenyeki...
Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini REA, Hassan Said, amesema Mradi mkubwa unaoendelea wa Awamu ya Tatu Mzunguko wa Pili utapeleka huduma ya ...
Rais wa Afrika Kusini Cyril Ramaphosa ameondoa marupurupu yenye utata kwa mawaziri na manaibu wao ambao walikuwa zikisambaziwa umeme na maji bila malipo. Manufaa hayo yalizua...