Apple yasitisha utengenezaji wa gari ya umeme

Apple yasitisha utengenezaji wa gari ya umeme

Kampuni ya Apple imeripotiwa kusitisha utengenezaji wa gari la umeme lililokuwa likitengenezwa kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita.

Apple ilitoa taarifa hiyo siku ya jana Jumanne ambayo iliwaacha hoi wafanyakazi zaidi ya 2,000 ambao walikuwa wakishirikiana na Afisa Mkuu Jeff Williams pamoja na Makamu wa Raisi Bwana Kevin Lynch kutengeneza gari hiyo.

Suala hili huenda likawa pigo kwa kampuni ya Apple kutokana ana kuwekeza mpunga mrefu ambao haukuwaletea mafanikio.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags