Zuchu alia na Tanesco

Zuchu alia na Tanesco

Baada ya Shirika la Umeme nchini(TANESCO) kutoa taarifa ya kuwa hakutakuwa na umeme kwenye baadhi ya maeneo jiji Dar es Salaam, huku baadhi ya watu wakiwa wanalalamika kutokana na kukosa baadhi ya huduma za kijamii kutokana na ukosefu wa umeme.

Mwanamuziki Zuchu naye hajakaa kimya atoa ya moyoni kuhusiana na ukatikaji wa umeme.

Kupitia Instagram yake ameandika,

"Mnarudisha watu nyuma,mnatia watu hasira"






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags