Kampuni ya BYD na gari inayeweza kutembea chini ya maji

Kampuni ya BYD na gari inayeweza kutembea chini ya maji

Wakati mvua zikinyesha Bongo baadhi ya wamiliki wa magari huacha majumbani kwao na kutumia usafiri wa umma kutokana na kuhofia magari yao kuharibika kufuatiwa na maji kujaa baadhi ya barabara, Nchini China kampuni ya ‘BYD Yangwang ’, inayuhusika na utengenezaji wa magari ya umeme ilizindua gari aina ya ‘U8 SUV’ yenye uwezo wa kutembea chini ya maji, bila ya maji kuingia ndani ya gari.

Inaelezwa kuwa gari hiyo ya umeme inakadiriwa kuuzwa kwa Dola 160,000 ambayo ni zaidi ya tsh 400 milioni, huku lengo la kuzindua gari hilo ni kuonesha umahiri wake nje ya barabara na majini.
.
.
.
#MwananchiScoop
#BurudikaNasi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags