Wahamiaji 73 wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya meli

Wahamiaji 73 wanahofiwa kufariki baada ya ajali ya meli

Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeandika kwenye mtandao wao wa Twitter  kuwa takribani wahamiaji 73 wameripotiwa kupotea na kudhaniwa kuwa wamekufa kufuatia ajali ya meli iliotokea  pwani ya Libya siku ya Jumanne.

Aidha walieleza kuhusiana na manusura wa ajali hiyo na kusema kuwa “Ni manusura saba pekee waliofanikiwa kupatikana ufukweni wakiwa katika hali mbaya sana na wamelazwa hospitalini”

Meli hiyo iliripotiwa kuelekea Ulaya shirika la IOM lilisema.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags