Fashion na mitindo ni miongoni mwa tasnia pendwa ulimwenguni, ingawa katika baadhi ya maeneo bado haijapewa kipaumbele. Licha ya hayo haijawa sababu ya tasnia hiyo kuacha kuza...
Baada ya miezi tisa baharini, meli kubwa zaidi duniani iitwayo ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ imemaliza safari yake huku ikitarajiwa kurejea Miami siku...
Saa ya mfukoni ya mfanyabiashara mkubwa aliyefariki dunia katika ajali ya meli ya Titanic, John Jacob Astor imepigwa mnada mara sita zaidi ya bei iliyokuwa ikiuzwa awali na ku...
Imeripotiwa kuwa mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #TreySongz amemalizana na kesi yake ya unyanyasaji wa kingono ambayo ilifunguliwa February mwaka 2016.
Kwa mujibu wa Daily...
'Rapa’ kutoka nchini Marekani Lizzo ametangaza kuacha kufanya muziki baada ya kidai kuwa haoni manufaa wala mafanikio aliyoyapata toka aanze kufanya muziki.Kupitia ukura...
Meli kubwa zaidi Duniani inayoitwa ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ tayari imewasili jijini Miami nchini Marekani ikitokea Finland ambapo ndipo ilipoteng...
Wanandoa kutoka nchini Marekani wajulikanao kama John Hennessee, na mkewe Melody Hennessee wanadaiwa kuuza mali zao zote kwa ajili ya kwenda kuishi kwenye meli.
Kwa mujibu wa ...
Meli kubwa zaidi duniani ya kitalii iitwayo "Icon of the Seas" inatarajia kuanza safari Januari 27, 2024, kutoka PortMiami nchini Marekani, na itaanza kwa ziara ya siku saba y...
Siku zote waswahili wanasema ukistajaabu ya Musa utayaona ya Firauni, msemo huo ulijionesha kwenye historia ya ajali ya kuzama kwa meli ya Titanic, iliyotokea Aprili 14, 1912 ...
Mwandishi maarufu wa Ukraine, Victoria Amelina amefariki dunia leo Jumatatu kutokana na majeraha aliyopata kufuatia shambulio la kombora lililotokea Jumanne alipokuwa akipata ...
Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeandika kwenye mtandao wao wa Twitter kuwa takribani wahamiaji 73 wameripotiwa kupotea na kudhaniwa kuwa wamekufa kufuatia ajal...