Nape: Zaidi ya laini laki 9 za simu zimefungiwa

Nape: Zaidi ya laini laki 9 za simu zimefungiwa

Januari 2023 Mamlaka ya Mawasiliano Nchini (TCRA) ilitangaza kuzima huduma za Mawasiliano ya Laini zote ambazo hazijahakikiwa ambapo tarehe ya mwisho ilikuwa ni Februari 13, 2023, lengo ikiwa ni kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo Utapeli  maarufu wa “Ile Hela Tuma kwa Namba Hii”

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye  amesema Laini zilizofungiwa ni ambazo Watumiaji wake waliendelea kuzitumia bila kukamilisha Usajili Rasmi wa Alama za Vidole na Kitambulisho cha Taifa(NIDA)

Ooooooh! Haya haya vipi laini yako imefungiwa nawewe au unakula bata tuu? Embu dondosha komenti yako hapo chini mtu wangu wa nguvu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags