Bobi Wine awaonya wakenya juu ya pendekezo la kuondoa ukomo wa muhula wa urais nchini humo. Kiongozi huyo wa upinzani Uganda, amewataka Wakenya kuwa macho kwa kulinganis...
Kampuni ya Twitter imewafuta kazi takriban wafanyakazi wake wote nchini Ghana, ikiwa ni wiki moja baada ya bilionea Elon Musk kuchukua uongozi wa kampuni hiyo.Chanzo kimoja ki...
Mwanamume mmoja amekamatwa baada ya mayai kurushwa kwa Mfalme na Malkia Consort wakati wa ziara ya York, Uingereza. Kijana huyo mwenye miaka 23, alisikika akipiga kelele "nchi...
Rais wa South Africa Cyrill Ramaphosa akiwa Nairobi, Kenya leo ametangaza kuwa kuanzia January 2023 Wakenya wataruhusiwa kwenda nchini South Africa bila kuhitajika kuwa na VIS...
Mshambuliaji wa Klabu ya Bayern Munich, Sadio Mane atakosa fainali za Kombe la Dunia baada ya Kupata majeraha ya goti kwenye mchezo wa Bundesliga dhidi ya Werder Bremen. Hata...
Shirika linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria limesema watu 14 wamefariki dunia baada ya shambulizi kufanywa katika msafara wa kijeshi wa waasi wanaoungwa mkono na Iran...
Baada ya mwanadada mjasiriamali na mwandishi wa habari Zamaradi Mketema kukabidhiwa zawadi ya gari aliyonunuliwa na mume wakehuu hapa ujumbe wa mtangazaji wa radio Divath...
Hellow! Niaje wanangu na wafuatiliaji wa Mwananchi Scoop. I hope mko good, sasa leo bwana nakuletea somo ambalo ni muhimu sana japo wengi wao hupenda kulidharau.
Wakati mume w...
Wakati taifa likiwa kwenye majozi ya kuwapotenza ndugu zetu kwenye ajali ya ndege iliyotokea novemba 6 mkoani Kagera bila kusahau ajali ya gari Kiteto taarifa nyingine ya ...
Mchezaji maarufu wa zamani kutoka Ivory Coast, Didier Drogba amekanusha madai kwamba amebadilisha dini yake na kuwa Muislamu na kuongeza kuwa alishangazwa na jinsi taarifa hiy...
Ebwana eeeh!!! Kama unavyofahamu bondia huyo aishiwi maneno bwana na mara nyingi huwa na misemo mbalimbali ikiwemo ngumi mchomo, ndoige safafari hii kana hilo jipya.
Aloooo!!!...
Mkuu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Kamishna Jenerali John Masunga amesema kuwa tayari jeshi hilo limempokea kijana aliyeokoa abiria wa ajali ya ndege ya Precision Air, Maja...