Kagame ailaumu DRC , adai inakiuka makubaliano

Kagame ailaumu DRC , adai inakiuka makubaliano

Rais wa Rwanda, Paul Kagame  amemshutumu Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi kuwa  anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhusu mgogoro baina ya Nchi hizo.
 
Aidha Rais Kagame amedai licha ya kufanya Mikutano na kukubaliana mambo kadhaa lakini Rais Tshisekedi amekuwa akitoa matamko ya kuilaumu Rwanda  badala ya kutatua changamoto za ndani ya Nchi yake

Hata hivyo kutokana na madai hayo Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo DRC haijajibu chochote kuhusu tuhuma hizo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags