20
Sura ya Rihanna kutumika kwenye manukato ya ‘Dior’
Mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, #Rihanna amepata shavu katika kampuni ya ‘Christian Dior’ inayojihusisha na masuala ya utengeneza nguo na urembo kwa kuteng...
09
Amorim kurithi mikoba ya Klopp
‘Klabu’ ya #Liverpool imeripotiwa kuwa imefikia makubaliano ya awali na ‘kocha’ wa ‘klabu’ ya #SportingLisbon, #RubenAmorim kuchukua mikopa...
31
Drake, Taylar, Adele, Tupac, Bieber ndiyo basi tena tiktok
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
15
Jesus Moloko hana chake Yanga
‘Klabu’ ya #Yanga imefikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba na mchezaji #JesusMoloko raia wa #Congo. Kupitia ukurasa wa #Instagam Yanga imeeleza k...
10
Momoa na mkewe wamalizana mazima
Baada ya mke wa muigizaji kutoka nchini Marekani #JasonMomoa, #LisaBonet kuwasilisha ombi la talaka katika mahakama ya California nchini humo siku ya jana hatimaye wawili hao ...
08
Mbappe kugeukia upande wa Madrid
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #PSG, #KylianMbappe inadaiwa kuwa amefikia makubaliano na ‘klabu’ ya #RealMadrid kujiunga bila malipo msimu ujao. Inaelezwa kuwa...
09
Cardi B adai sababu ya kurusha mic, shabiki alikiuka makubaliano
Rapper kutoka Marekani Cardi B amedai sababu ya kumrushia shabiki mic ni kukiuka makubaliano na kummwagia maji usoni. Mwanamuziki huyo amedai kuwa kutokana na hali ya joto ali...
23
Lucas ataisikia Man City kwenye bomba
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ Manchester City walifanya makubaliano na ‘klabu’ ya #WestHam kumchukua #LucasPaqueta kwa ada ya Pauni 85 milioni kabla ya dili hi...
17
Endo atimba Liverpool
Mchezaji wa ‘klabu' ya #VfBStuttgart ya #Ujerumani, #WataruEndo yuko tayari kwenda katika ‘klabu’ ya #Liverpool baada ya ‘klabu’ yake kufikia mak...
24
Simba yamuaga Sakho
Baada ya kuwepo na sintofahamu kwa mchezaji Pape Sakho, rasmi #SimbaSc wamefikia makubaliano na ‘klabu’ ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa kumnun...
10
Kagame ailaumu DRC , adai inakiuka makubaliano
Rais wa Rwanda, Paul Kagame  amemshutumu Rais wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo (DRC), Félix Tshisekedi kuwa  anakiuka makubaliano kadhaa wanayoafikiana kuhus...
12
Uganda, Mali zasaini makubaliano ya ushirikiano wa kijeshi
Uganda na Mali zimekubaliana kushirikiana kwenye mafunzo ya majeshi, ukusanyaji wa taarifa za kijasusi, operesheni za anga na ardhini pamoja na mapambano dhidi ya waasi. Kwa m...

Latest Post