Ndugai awataka wanachi kuacha kulalamika

Ndugai awataka wanachi kuacha kulalamika

Mbunge wa Kongwa Job Ndugai amewataka wananchi kuacha kualalamika na kujiletea maendeleo.

Amesema jukumu la kwanza la Serikali ni kulinda Usalama wa Wananchi hivyo ni wajibu wa Wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea Maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika

Ndugai  ameyasema hayo wakati wa mkutano wa Baraza la Madiwani kujadili Bajeti ya Wakala wa Barabara Mijini na Vijijini Tarura huko Wilaya ya Kongwa






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags