Vyuo vikuu kufungwa Nigeria  kupisha uchaguzi mkuu

Vyuo vikuu kufungwa Nigeria kupisha uchaguzi mkuu

Tume ya Vyuo Vikuu vya Kitaifa ya Nigeria   (NUC) imesema Vyuo nchini humo vitafungwa kuanzia Februari 22 hadi Machi 14, 2023 wakati Uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023

Imeelezwa maamuzi hayo yamefanyika kwa lengo la kulinda Usalama wa Wanafunzi na Wafanyakazi wa Vyuo, ikidaiwa Maagizo yametoka kwa Waziri wa Elimu.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags