03
Zijue chaguzi za serikali za wanafunzi vyuoni
Na Michael AndersonNiccolò Machiavelli , katika kitabu chake maarufu ‘The Prince’, aliandika kama kiongozi hawezi kuogopwa na kupendwa kwa wakati mmoja, ni ...
02
Kukabiliana na tatizo la ajira kwa wahitimu wa vyuo
Na Michael Onesha Mwandishi wa vitabu Joel Nananuka katika kitabu chake cha Ishi ndoto yako ‘Ebook’ Aliwahi kusema ndani yako kuna uwezo na hazina kubwa sana ambay...
20
Kesi ya Marioo yasogezwa mbele
Kesi inayomkabili mwanamuziki wa bongo fleva Marioo na Meneja wake Sweetbert Mwinula iliyotakiwa kusikilizwa Machi 18 na 19, ya madai ya Sh550 milion imepigwa kalenda katika M...
04
Wanafunzi wajiandae na maisha halisi baada ya kutoka vyuoni
Na Michael OneshaAloooh! niaje niaje, wanafunzi wenzangu, ni ndugu yenu tena nimerudi na kitu new, kama tunavyojua wiki hizi ni wiki ambayo wapo baadhi ya wanafunzi wamemaliza...
06
Jukumu la vyuo kuwasaidia wanafunzi kupambana na matatizo ya afya ya akili
Na Magreth Bavuma Ouyah eeh! mambo niaje, hopefully wote tuko poa kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa ya wanavyuo  u...
18
Umuhimu wa matamasha ya sanaa kwa wanavyuo
Na Magreth BavumaMambo niaje wanangu ni wiki nyingine tena niwakaribishe kwenye kona yetu pendwa ya wanavyuo “unicorner” chimbo moja tu ambalo wanavyuo tunakutanis...
13
Tishio la matumizi ya ai kwa wanavyuo
Na Magreth BavumaOuyah wanangu eeeh, mambo niaje karibuni tena kwenye kona yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” ni chimbo hili tu linalo wakutanisha wanavy...
06
Umuhimu wa kuwa single chuoni
Na Magreth Bavuma Ouyah eeeeh niaje niaje, karibuni tena kwenye segment yetu pendwa ya dunia ya wanavyuo “unicorner” sehemu moja tu tunayo elimishana juu ya m...
19
Mikakati ya kuvishinda vishawishi vyuoni
Ouyah eeh! mambo niaje, hopefully wote tuko poa kabisa karibu tena kwenye corner yetu pendwa ya wanavyuo alafu usisahau kuwaambia na wanao kwamba ujanja ni kuwa sehemu ya hii ...
11
Unyanyasaji wa kijinsia vyuoni na jinsi ya kukabiliana nao
Kuna wakati unakutana na changamoto ya kunyanyaswa kijinsia na usiwe na uelewa kwamba kitendo ulichofanyiwa ni unyanyasaji lakini kwa sababu ya ukosefu wa uelewa juu ya elimu ...
05
Kuimarisha usalama wa mtandaoni kwa wanahabari wanawake wanaosoma vyuo
Katika ulimwengu wa leo unaotawaliwa na teknolojia, mtandao umekuwa jukwaa kuu la kubadilishana habari, kujenga ujuzi, na kuwasili...
28
Matumizi ya dawa za kulevya kwa wanavyuo, Changamoto na athari za kudumu
Na Magreth Bavuma Kumekua na kasi ya wimbi la vjana kujihusisha na matumizi ya dawa za kulevya na kutokana na takwimu za sasa si v...
15
Maisha ya mtaani baada ya kumaliza vyuo vikuu
Na Magreth Bavuma Ouyah!! wanangu wa moyoni eeeeh mambo ni gani, it’s another blessed week karibu nyumbani “unicorner” Tuone ni nini kona yetu imebeba, dua y...
24
Safari ya ujasiriamali kwa wanavyuo
Na Magreth Bavuma Mambo niaaaaje, wanangu wa moyoni, segment yako pendwa kabisa ya unicorner sehemu moja tu ambayo tunapangana na kupanguana, kujifunza na kuelimishana kuhusu ...

Latest Post