Bill Gates kwenye penzi zito na Paul Hurd

Bill Gates kwenye penzi zito na Paul Hurd

Tajiri Bill Gates anaripotiwa kutoka kimapenzi na Paula Hurd ambaye ni mjane wa marehemu Mark Hurd, aliyekuwa CEO wa kampuni ya Oracle.

Rafiki wa karibu wa aliuambia mtandao wa Daily Mail kuwa "Wamekuwa pamoja zaidi ya mwaka mmoja na yeye daima anaonekana kama mwanamke wa siri, lakini sio siri kwa ndani kwamba wako kwenye mahusiano ya mapenzi" alisema rafiki huyo

Ikumbuke tu Mwaka 2021, Bill Gates aliachana na kupeana Talaka na aliyekuwa mke wake Melinda baada ya kuishi kwenye ndoa kwa miaka 27.


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post