Mwanamuziki akabiliwa na kesi ya ubakaji

Mwanamuziki akabiliwa na kesi ya ubakaji

Mwanamuziki maarufu nchini Morocco Saad Lamjarred, anatuhumiwa na kesi ya ubakaji na unyanyasaji, ambayo imeanza kusikilizwa katika mji mkuu wa Ufaransa.

Saad anayeimba muziki wa pop wa Kiarabu, anadaiwa kumbaka mwanamke mmoja wa Ufaransa katika hoteli ya kifahari huko Champs Elysees mwaka wa 2016.Lakini amekanusha madai hayo.

Mfalme Mohammed wa Sita wa Morocco alimtunuku heshima ya juu zaidi ya kitaifa mwaka 2015.

Kama atakutwa na hatia, Bw Lamjarred anaweza kufungwa jela miaka 20 hukumu inatarajiwa kutoka siku ya Ijumaa.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags