Nusu ya watu duniani watakua na unene unaozidi kufikia 2035

Nusu ya watu duniani watakua na unene unaozidi kufikia 2035

Ripoti maalum kutoka Shirika la Watu Wanene (WOF) limetoa angalizo na kueleza itafikiwa hivyo ikiwa hatua hazitachukuliwa mapema, zaidi ya Watu Bilioni nne wataathirika.

Aidha Ripoti imeonesha changamoto inaanzia kwa Watoto na Vijana katika Nchi zenye kipato cha chini au cha kati hasa Afrika na Asia.

Hata hivyo Rais wa WOF , Profesa Louise Baur, ametoa wito Serikali zichukue hatua na kutosubiri idadi iongezeke kwani kuna uwezekano wa athari kuwa kubwa kwa Uchumi






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags