Mwakilishi Jimbo la Mtambwe afariki

Mwakilishi Jimbo la Mtambwe afariki

Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba  Habib Mohammed Ali,    amefariki wakati akiendelea na Matibabu katika Hospitali ya SAIFEE Jijini Dar es Salaam.

Akithibitisha  taarifa hizo Katibu wa Habari, Uenezi, Mawasiliano na Umma wa Chama cha ACT-Wazalendo, Salim Bimani, amesema taarifa za mazishi zitatolewa baada ya kushauriana na Familia

Inalilah waina ilaih rajioun jarida la Mwananchi scoop linatoa pole kwa ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wote waliofikwa na msiba huo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post

Latest Tags