‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Blueface ameamua kuondoka kwenye interview na #FunyyMarco baada ya mtangazaji kushindwa kutaja nyimbo zake tatu.
Blueface aliondoka s...
Baada ya kundi linalotambulika kama Sugartee kutoa tangazo likisema kwamba mnamo Julai 7 wataanza mbio ndefu (mashindano) ya kubusiana duniani katika uwanja maarufu wa burudan...
Meya wa mji mdogo wa Mexico aliefahamika kwa jina la Victor Hugo Sosa, amefunga ndoa na mamba katika tambiko la miaka mingi la mavuno ambapo mchumba wake huyo alitambulika kwa...
Kufatiwa na mapigano yanayo endelea nchini Sudani katika miji mbalimbali siku ya jumatano vyombo vya habari nchini humo viliripoti taarifa ya kifo cha Gavana wa jimbo la Darfu...
Mhamiaji kutoka nchini Nigeria Yemi Mobolade ameapishwa Juni 6 kuwa meya wa kwanza mwenye asili ya kiafrika nchini Marekani katika jiji la pili kwa ukubwa la Colorado.
Gavana ...
Taarifa kutoka kisiwani Pemba ambapo Mwakilishi wa Jimbo la Mtambwe, Mkoa wa Kaskazini Pemba Habib Mohammed Ali, amefariki wakati akiendelea na Matibab...
Ebwana hii nayo kubwa kuliko kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Maua Sama ameandika ujumbe huu hapa bwana akisema kwambaa!.
"JIMBO LIPO WAZI " ambayo kwa tafsiri ya w...