Maua Sama: Asema Jimbo liko wazi

Maua Sama: Asema Jimbo liko wazi

Ebwana hii nayo kubwa kuliko kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Maua Sama ameandika ujumbe huu hapa bwana akisema kwambaa!.

"JIMBO LIPO WAZI  " ambayo kwa tafsiri ya waja mtaani kuwa kwa sasa hayupo kwenye mahusiano na watu wanakaribishwa kurusha mistari''

Aisee mrembo huyo amefungua milango bwana kama unajimudu unaweza kutupa jiwe gizani au vipi? Dondosha comment yako hapo unafikiri yuko serious au kama kawaida yao wasanii?


Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Saphinia Suleiman

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, career, skills development and technology.


Latest Post