16
Maua Sama atuma salamu za pole Kariakoo
Mwanamuziki anayetamba na kiboa cha ‘Kariakoo’ ametuma salamu za pole kwa wafanyabiashara wa Kariakoo kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporormoka kwa m...
02
Kariakoo ya Maua Sama yafutwa youtube
Mwanamuziki Bongo Fleva nchini Maua Sama alia na watu ambao wameushusha wimbo wake wa ‘Kariakoo’ uliokuwa ukifanya vizuri katika mtandao wa Youtube.Maua muda mchac...
12
Mwijaku ameyakanyaga kwa Maua Sama
Ikiwa zimepita siku chache tangu muigizaji na mtangazaji Mwijaku kumzungumzia vibaya mwanamuziki Maua Sama mazungumzo ambayo yaliyoonekana ni unyanyasaji, Maua Sama kupitia wa...
08
Maua: Nimepoteza mtoto,ukiona mtu ananenepa muache hujui nini anapitia
Wakati wa utambulisho wa ngoma yake mpya mwanamuziki Maua Sama, ame-share video ya kionjo cha wimbo wake huo, huku akiusindikiza n...
07
Ujauzito wa Maua Sama uliharibika
Mwanamuziki wa kizazi kipya #Mauasama katika ukurasa wake wa Instagram ame-share post ya #UltraSound ya ujauzito na kuweka kopa iliyopasuka katikati akiwa na maana ya huzuni a...
22
Diamond akimbiza kwenye mirabaha, Zuchu aongoza wanawake
Yale maokoto ambayo wengi walikuwa wakiyasubiri kwa muda mrefu ili kujua kiasi cha pesa ambacho wasanii watapata kutokana na kazi zao kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya Redio...
30
Maua Sama: Naogopa sana magari
Hahahahah! Make hapa kwanza nchike, wakati mimi na wewe msomaji tukitamani kumiliki mandinga na kutamba nayo mitaani kumbe kuna wenzetu wanayo ila hawawezi kuyatumia. Basi bwa...
06
Mwijaku amtolea povu Maua Sama
Moja kati ya taarifa iliyozua gumzo huko kwenye mitandao ya kijamii ni hii hapa inayohusisha comment ya Mwijaku kuhusu Maua Sama kuwa karibu na Msanii mwenzie Jux. Koment hiyo...
27
Maua Sama: Asema Jimbo liko wazi
Ebwana hii nayo kubwa kuliko kutoka kwenye ukurasa wa Instagram wa Maua Sama ameandika ujumbe huu hapa bwana akisema kwambaa!. "JIMBO LIPO WAZI  " ambayo kwa tafsiri ya w...
20
Maua Sama: Namkubali Alikiba
Aisee moja kati ya ndoto zake ambazo zimetimia kwa msanii Maua Sama ni pamoja na  hii ya kufanya ngoma na  King Kiba ambapo Maua ameeleza kuwa Kiba  ni moj...
09
Maua Sama: Nampenda Alikiba
Msanii wa muziki nchini, Maua Sama ameshare hisia kwamba anampenda msanii mwenzake Alikiba. Maua ameweka wazi kumkubali Alikiba baada ya hivi karibuni kufunguka kwamba hakuna ...
03
Maua Sama atengeneza nyimbo ya DK 23
Unaambiwa kwamba hakuna linashindikana ukiamua ndivyo inajidhihirisha kwa msanii wa muziki nchini Maua Sama ambaye amesema kwamba kuna ngoma amerekodi ina dakika takribani 23 ...
30
Alikiba amjibu Maua Sama
Moja ya story inayobamba katika mitandao ya kijamii ni ya Staa wa muziki Bongo Alikiba ambaye amemjibu Maua Sama. Alikiba alifunguka na kusema kuwa hakuna mtu wa kumpiga akiru...
14
Maua Sama: Nimepona
Na Aisha Lungato Staa wa muziki nchini Tanzania Maua Sama amepona maradhi yaliokuwa yakimsumbua kwa muda wa miezi 7. Staa huyo ameeleza hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram...

Latest Post