Wafanyakazi waongezewa mshahara kwa 100%

Wafanyakazi waongezewa mshahara kwa 100%

Serikali kutoka nchini Zimbabwe imetaka wafanyakazi wote wa umma kuongezewa mshahara kwa 100%, aidha imebainisha kuwa lengo la ongezeko hilo ni kurahisisha maisha kwa Wananchi ili wamudu gharama mbalimbali kutokana na mfumuko wa bei ambao umeongezeka kwa 92.3%.

Hii imetokana na kupanda kwa bei madukani kwa kiwango kikubwa ambacho kinakaribia kile cha mshahara wanaolipwa.

Aidha ongezeko la mshahara limeanza Machi 1, 2023 katika Sekta ya ulinzi na kuanzia Aprili 1, 2023 litahusisha Idara nyingine zote za umma.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags