Mobetto: Nitafanya surgery ya kuongeza mdomo

Mobetto: Nitafanya surgery ya kuongeza mdomo

Weeeeeeh! Huku wengine wakiwa wanaenda kuondoa makalio na lips za bandia walizoweka lakini kwa Mrembo Hamisa Mobeto ameweka wazi mpango wake wa kufanya upasuaji "Surgery" kwaajili ya kujiweka sawa kimuonekano kama mambo yake yakikaa sawa.

Mwanadada huyo ameyaeleza hayo kupitia mahojiano yake na moja ya chombo cha habari nchini baada ya kuulizwa kama amewahi kufanya upasuaji "Surgery" alijibu kuwa hajawahi kufanya lakini kama mambo yakikaa sawa ataenda kufanya hivyo.

Na hii imetokana na watu wa Instagram kusema kuwa ana mdomo mdogo basi ikitokea anaenda kufanya upasuaji "Surgery" basi atafanya upasuaji wa mdomo yaani anaongeza "Lips".    






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags