Chuo cha Denmark chahifadhi ubongo 10,000 wa binadamu

Chuo cha Denmark chahifadhi ubongo 10,000 wa binadamu

Na Asha Charles

Ooooooh!! Hivi ulishawahi jiuliza kamba kuna sehemu wanaweza kuhifadhi ubongo wa binadamu ambao hawapo tena duniani, ila wazungu huko walipo fikiaa sio pouwa kabisa hahaha! (Jokes) 

Basi bwana unaambiwa Chuo Kikuu cha Kusini mwa Denmark kimehifadhi zaidi ya ubongo10,000 wa binadamu ambao ni wagonjwa waliofariki katika taasisi za magonjwa ya akili Denmark katika kipindi cha miongo minne kutoka 1945 hadi miaka ya 1980. 

Aidha inaaminika kuwa ndio mkusanyiko mkubwa zaidi wa aina yake ulimwenguni, wataalam wanasema kuwa kwa miaka mingi hifadhi hiyo imesaidia katika kuchunguza magonjwa mengi duniani ikiwa ni pamoja na ugonjwa wa akili wa Dementia na msongo wa mawazo. 

Chanzo BBC






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags