DJCUPPY  kuchangia million 292 kwa wanafunzi

DJCUPPY kuchangia million 292 kwa wanafunzi

Na Asha Charles

Nyie nyie!!  Usiseme hatuna hela sema sina hela, basi bwana mwanadada Florence Ifeoluwa Otedola maarufu kama DJCUPPY kutoka nchini Nigeria ametangaza kuchangia zaidi ya Milioni 292 kwa wanafunzi wa Kiafrika wanaohitimu katika Chuo kikuu cha Oxford.

DJcuppy ambae alitunikiwa shahada ya uzamili katika Masomo ya Kiafrika kutoka katika chuo hicho mapema mwaka huu, amesema kuwa mchango huo utaenda kuwasaidia wanafunzi hao kufikia malengo yao katika elimu ya  juu.  

Ikumbukwe tuu mwanadada huyo alishawahi kusaidia mashirika ya wafanyakazi kuhusu ulinzi wa watoto na elimu kwa wasichana na watu wenye ulemavu huko Nigeria.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags