Obi adai kulazimishwa kuondoka nchini

Obi adai kulazimishwa kuondoka nchini

Peter Obi ambaye alishika nafasi ya 3 katika Matokeo ya Urais yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi nchini Nigeria amesema amekuwa akilazimishwa kuondoka nchini humo.

Licha ya kutoweka wazi ushahidi wa madai yake, Obi amesema Serikali imekuwa ikifanya kila namna kupoteza ukweli juu ya wizi wa matokeo ya uchaguzi ambao anadai yeye alishinda.

Aidha Obi ni mgombea aliyekuwa akiungwa mkono na makundi ya vijana na wafanyabiashara, amefungua kesi mahakamani kupinga matokeo ya uchaguzi huo.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags