Waliomuua XXXTentacion jela maisha

Waliomuua XXXTentacion jela maisha

Eeebwanaaeeeh! Kama wahenga wasemavyo kuwa siku zote damu ya mtu nzito, basi bwana wanaume watatu wamehukumiwa kifungo cha maisha jela siku ya jana alhamisi kufuatia mauaji ya mwanamuziki nyota XXXTentacion yaliyotokea mwaka wa 2018, ambaye alipigwa risasi nje ya duka la pikipiki huko Florida Kusini na kuiba Dola za Marekani 50,000.

Washukiwa hao walikutwa na hatia ya kumuua rapa huyo kwa kumpiga risasi ambapo watu hao walifahamika kwa majina ya Michael Boatwright, Dedrick Williams pamoja na Trayvon Newsome.

Duuuuh! Haya haya hebu dondosha komenti yako hapo chini mdau wangu, kujua mtazamo wako katika hili.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags