Kenya kuanzisha vitambulisho vya kidigitali

Kenya kuanzisha vitambulisho vya kidigitali

Rais kutoka nchini Kenya William Ruto ametoa taarifa hiyo jana Mei 24, 2023 jijini Nairobi kwenye Mkutano wa ID4 Africa  na kueleza kuwa ni mpango wa Serikali kuanza kusajili Wananchi kwa mfumo wa Kidigitali ili kutunza Takwimu zao kisasa Zaidi.

Mfumo huo utasaidia kutunza taarifa za wasafiri na kurahisisha utambuzi wa watu wanaotoka na kuingia Nchini humo kupitia viwanja vya ndege, mipakani na bandarini.

Aidha ameongeza kuwa faragha ya taarifa binafsi za watu waliosajiliwa ni sehemu muhimu ya mamlaka yetu ya Umma, na lazima tuchukue kila hatua iwezekanayo ili kuilinda kila wakati.






Comments 0


Leave a Reply

Author

Hello, I'm
Aisha Lungato

A digital journalist and writer for Mwananchi Scoop. My stories are around entertainment, lifestyle, artist profiles and career.


Latest Post

Latest Tags