Mtoto wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Beyonce, Blue Ivy (11) ameripotiwa kuwa sauti yake itatumiaka kwa mara ya kwanza katika filamu (animation) ya ‘Mufasa: The Li...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, Harmonize amefanya utani kwa #Ibraah ambaye ni msanii anayemsimamia katika lebo yake ya Konde Gang akimwambia kuwa yeye ndiyo amemtoa kimuziki.
Har...
Shirikisho la la mpira wa miguu (FIFA) limeifungia ‘klabu’ #YangaSc kusajili mpaka itakapomlipa aliyekuwa mchezaji wake Lazarus Kambole baada ya mchezaji huyo kush...
Wanamuziki kutoka nchini Nigeria, Davido pamoja na Wizkid wapo katika bifu zito, baada ya shabiki wa Wizkid katika mtandao wa X (zamani Twitter) kumuomba msanii huyo atoe ngom...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya ‘Mavin Records’ kutoka nchini Nigeria, DonJazzy amem-unfollow msanii #Wizkid katika mtandao wa #Instagram baada ya msanii huyo ku...
Saa ya mfukoni ya mfanyabiashara mkubwa aliyefariki dunia katika ajali ya meli ya Titanic, John Jacob Astor imepigwa mnada mara sita zaidi ya bei iliyokuwa ikiuzwa awali na ku...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Chris Brown amedaiwa kuwa alinunua viti vyote vya mbele kwenye moja ya show ya hasimu wake Quavo ili msanii huyo aonekane hajaj...
Mwanamuziki #MalkiaKaren amewashukuru ndugu, jamaa na marafiki ambao walishiriki kwenye msiba wa Baba yake mzazi aliyekuwa mtangazaji wa Clouds FM, Gardiner Habash...
Beki na nahodha wa klabu ya #Chelsea, #ThiagoSilva ambaye pia alikuwa nahodha wa timu ya Taifa ya Brazil amethibitisha kuondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu.
Thiago aki...
Binadamu huwa wabunifu zaidi wanapopitia changamoto fulani, kauli hiyo unaweza kuielezea kutokana na ubunifu wa kulileta jua kwa kutumia kioo katika Kijiji cha Viganella nchin...
Baada ya kushare video kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuzua gumzo kupitia mitandao ya kijamii kiwa ni mjamzito mwanamuziki wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee amekanusha taarif...
Imeripotiwa kuwa kocha wa #BayernMunich, Thomas Tuchel amedai kuwa hatakubali kushawishiwa na ombi la mashabiki kumtaka abakie katika klabu hiyo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Sky S...
Staa wa #BongoFleva #Harmonize ni kama ameonyesha kuchoshwa na kauli ambayo #DiamondPlatnumz anapenda kuisema mara kwa mara kuwa yeye ndiyo aliyemtoa katika muziki.
Harmonize ...