27
Mama alivyorudisha tabasamu kwa binti yake
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
27
Jengo lililojengwa kwa zaidi ya miaka 140 kukamilika 2026
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
27
Mwanasheria wa P Diddy awaka matumizi ya nguvu kumkamata mteja wake
Uongozi wa P Diddy, umetoa taarifa juu ya msako uliofanywa Jumatatu, Machi 25 na  Mawakala wa Usalama wa Taifa kwenye nyumba ...
27
Muonekano wa ndani nyumbani kwa P Diddy baada ya Uchunguzi wa Polisi
Video fupi iliyotolewa na mtandao wa TMZ ikionesha hali ilivyo ndani ya nyumba ya P Diddy iliyopo Miami baada ya kufanyiwa uchungu...
26
Chini ya miaka 16 wapigwa marufuku kujihusisha na mitandao
Gavana wa mji wa Florida, nchini Marekani #RonDeSantis ametia saini mswaada wa sheria ya mitandao ya kijamii nchini humo jana Jumatatu kupiga marufuku watoto walio chini ya um...
26
Jina la kanumba bado linaishi
Wakati akiwa katika muendelezo wa ziara yake ya kuzunguka mataifa mbalimbali mwanamuziki wa Bongo Fleva, Rayvanny akiwa South Africa amekutana na shabiki wa marehemu mwigizaji...
26
Harmonize ahamia kwenye ndondi
Mwanamuziki kwa wa Bongo Fleva nchini Harmonize amedai kuwa anataka kuionesha jamii kipaji chake kingine katika upande wa upiganaji (Ndondi). Kupitia ukurasa wake wa Instagram...
26
Diddy bado yupo Marekani
Baada ya vyombo vya habari mbalimbali nchini Marekani kudai kuwa mwanamuziki Diddy amekimbilia katika visiwa vya Caribbean, baada ya kuonekana katika uwanja wa ndege wa Opa-Lo...
26
Msako mkali wafanyika kwenye makazi ya Diddy
Makazi ya nyota wa muziki wa hip-hop, Sean "Diddy" Combs, ya Los Angeles na Miami jana Jumatatu , Machi 25, yamefanyiwa upekuzi na Mawakala wa Usalama wa Taifa kama sehemu ya ...
25
Jobe agombaniwa Ulaya
Kiungo wa ‘klabu’ ya #Sunderland, Jobe Samuel Bellingham agombaniwa na ‘vilabu’ kadhaa barani Ulaya ikiwemo #Chelsea na #TottenhamHotspur kwa ajili ya ...
25
47% ya wazazi wanahudumia watoto wao waliofika umri wa utu uzima
Kwa mujibu wa ripoti ya utafiti iliyotolewa na New Savings Survey, inaonesha kuwa 47% ya wazazi nchini Marekani, wanaendelea kutoa msaada wa kifedha kwa watoto wao, ambao wame...
25
Davido: Ningekutana na mke wangu kipindi hiki nisingemuoa
Mwanamuziki wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, #Davido ameweka wazi kuwa alikutana na mke wake, #ChiomaAdeleke kabla ya kuwa na pesa wala umaarufu. Kupitia mahojiano yake hivi...
25
Shakira hataki kuolewa tena
Mwanamuziki kutoka nchini Colombia #Shakira baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake wa muda mrefu #GeralgPique amedai kuwa hatojihusisha na mahusiano wala kuolewa tena. Msa...
25
Mwigizaji wa nigeria, Amaechi afariki dunia
Ikiwa zimepita wiki tatu tangu kitokee kifo cha mwigizaji kutoka Nigeria Mr Ibu, sasa imeripotiwa kifo cha mwigizaji mwingine kutoka nchini humo anayefahamika kwa jina la Amae...

Latest Post