28
Waamuzi wa simba na Yanga wajulikana
Muamuzi #AbongileTom kutoka nchini Afrika Kusini ameteuliwa kusimamia mchezo wa robo fainali ya ‘ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya #AlAhly kutoka nchini ...
28
Burna Boy awatolea povu wanaosambaza picha yake ya zamani
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria, Burna Boy amewatolea povu baadhi ya watu wanaosambaza na kuinanga picha yake ya zamani akiwa amenyoa ndevu huku akiwataka watu hao kuj...
28
Siku kama ya leo Smith alimchapa kofi Chris Rock
Tarehe na mwezi kama wa leo miaka miwili iliyopita dunia ilishuhudia kile kilichoitwa utovu wa nidhamu baada ya mwigizaji Will Smith kumchapa kofi mchekeshaji ambaye pia ni mw...
28
Aliyepanga njama ya kumuua AKA ajulika
Mahakama nchini Afrika Kusini imemtaja mfanyabiashara, Sydney Munda Gcaba kuwa ndiye mtu aliyewalipa watuhumiwa sita wa mauaji ya aliyekuwa ‘rapa’ Kiernan Forbes, ...
28
Mapya yaibuka kesi ya Diddy
Wakati msako wa kumsaka ‘rapa’ Diddy ukiendele nchini Marekani mapya yaibuka ambapo imeripotiwa kuwa ‘rapa’ Yung Miami alihusika  kumbebea Diddy d...
27
Utafiti: Wafanyakazi wanaoenda likizo wananafasi kubwa ya kupandishwa cheo
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanyiwa na ‘Florida State University’ miaka saba iliyopita unaeleza kuwa wafanyakazi wanaoen...
27
Kim adaiwa kumuiga Bianca
Aliyekuwa mke wa zamani wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani #KanyeWest, #KimKardashian ameshutumiwa kumuiga mavazi mpenzi wa sasa wa star huyo #BiancaCensori. Shutuma hizo z...
27
Kipande cha mlango kilichookoa maisha ya Rose wa Titanic chauzwa
Kipande cha mlango wa mbao kilichookoa maisha ya Rose wa filamu ya Titanic kimeuzwa kwa dola 718,750 ikiwa ni zaidi ya tsh 1.8 bilioni. Kipande hicho kimeripotiwa kuuzwa katik...
27
Will Smith: Napenda kuwa maarufu
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa anapenda sana kuwa maarufu kwani unamfanya ajiskie kuwa salama zaidi. Will ameyasema hayo siku ya Jana Ju...
27
Mainoo aonesha makali yake timu ya Taifa
Mchezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #KobbieMainoo amebuka kuwa nyota wa mchezo siku ya jana katika ‘timu’ yake ya Taifa #England baada ya kucheza...
27
Rema kujenga chuo cha muziki
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Rema (23) ameripotiwa kuwa na mpango wa kuanzisha na kujenga chuo cha muziki Barani Africa. Chuo hicho ambacho kinadaiwa kugaharimu N20...
27
Mama alivyorudisha tabasamu kwa binti yake
Mwanamke mmoja kutoka Utah nchini Marekani aitwaye Daniella amerudisha tabasamu kwa binti yake wa miaka saba aitwaye Gianessa Wride baada ya kubuni njia inayoweza kuwa mbadala...
27
Jengo lililojengwa kwa zaidi ya miaka 140 kukamilika 2026
Jengo maarufu la Kanisa liitwalo ‘Basilica La Sagrada Familia’ lililopo jijini Barcelona nchini Uhispania linatarajiwa kukamilika rasmi mwaka 2026 baada ya kujengw...
27
Mwanasheria wa P Diddy awaka matumizi ya nguvu kumkamata mteja wake
Uongozi wa P Diddy, umetoa taarifa juu ya msako uliofanywa Jumatatu, Machi 25 na  Mawakala wa Usalama wa Taifa kwenye nyumba ...

Latest Post