Nyota wa muziki nchini, Harmonize na Rayvanny,wametangaza ujio wa ngoma yao mpya ikiwa ni ngoma inayosubiriwa kwa hamu.
Tangazo hilo la ujio wa ngoma hiyo ya pamoja limezua gu...
‘Fowadi’ wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na Brazil, Robinho ameanza kujifunza ufundi wa vifaaa vya umeme, ikiwamo kutengeneza televisheni akiwa gerezani ...
Baada ya kuzuka tetesi kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na mwanamuziki kutoka visiwa vya Barbados, Rihanna kutarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A$AP Rocky, msani...
Mwanamuziki wa Canada Celine Dion, ameweka wazi kuwa ugonjwa aliokuwa nao wa ‘Stiff Person Syndrome’ ulianza kumsumbua toka mwaka 2008.
Dion ameyasema hayo wakati ...
Mwanzilishi mwenza wa rekodi lebo ya ‘Death Row Records’ kutoka Marekani Suge Knight, ambaye kwa sasa anatumikia kifungo cha miaka 28 jela amedai kuwa mkali wa Hip...
Baada ya kuzua taharuki kufuatia ‘tisheti’ yake iliyoandikwa nimestaafu, sasa imeripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna anatarajia kupata mtoto wa tatu na mpenzi wake A...
Baada ya mzalishaji muziki nchini Trone, kuthibitisha ujio wa albamu ya mwanamuziki wa Bongo Fleva Zuchu, sasa msanii huyo amesema imekamilika kwa asilimia 100.Zuchu ametoa ta...
Mke wa mwanamuziki kutoka Marekani #KanyeWest #BiancaSensori amewashangaza wengi baada ya kuvaa vazi la heshima akiwa matembezi na mumewe nchini Japan.
Vazi alilovaa Bianca nd...
Imani na hadithi za watu wengi zinaeleza kuwa gerezani ni sehemu ya mateso na dhiki, lakini hii inakuwa tofauti kwa gereza maarufu kutoka Norway liitwalo ‘Halden Prison&...
Mke wa rapa kutoka Marekani Tory Lanez, Raina Chassagne anadaiwa kudai talaka, ikiwa zimebaki siku chache kutimiza mwaka mmoja katika ndoa yao waliyoifunga mwaka 2023.
Kwa muj...
Ulimwengu wa fashoon unabebwa na vitu vingi, kutokana na hilo jarida la Mwananchi Scoop, limekusogezea njia za kupaka make-up simple.
Kama inavyofahamika urembo ni kitu muhimu...
Na Aisha Lungato
Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau.
Waswahili wanas...
Na Glorian Sulle
Moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwachanganya wengi haswa mabinti ni muonekano wa kichwani, yaani atatokelezea vipi akienda kazini wiki nzima.
Kutokana na hi...