Baada ya ukurasa ujulikanao kwa jina la ‘Keep 6ix Solid” ku-share baadhi ya picha za ndege ya mwanamuziki kutoka nchini Marekani Rick Ross kunusurika na ajali &lsq...
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya mnyama wa porini aitwaye koala leo Mei 3, jamii imesisitizwa kuhusu umuhimu wa kulala na utunzaji wa mazingira.Koala ni mnyama wa familia ya ...
Watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini China wamestaajabishwa na muundo wa kituo kipya cha treni, kituo hicho kufananishwa na taulo za kike (pedi).Muundo huo uliyopendekezwa ...
Willow Smith ambaye ni mtoto wa mwigizaji kutoka nchini Marekani, Will Smith, ameweka wazi kuwa mafanikio aliyonayo hayatokani na wazazi wake bali ni juhudi zake mwenyewe.Will...
Mume wa mfanyabiashara Zari, Shakib Lutaaya ameomba kuzichapa na mwanamuziki wa #Bongofleva nchini Harmonize, hii ni baada ya Konde kupitia instastory yake kudai kuwa ameamua ...
Mauzo ya simu za iPhone zinazotengenezwa na kampuni ya Apple yameshuka duniani kote kwa asilimia 10 katika miezi mitatu ya mwanzo ya mwaka 2024.Hayo yamebainishwa na utafiti u...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kendrick Lamar ameendelea kuupiga mwingi kupitia ngoma yake ya ‘Euphoria’ aliyoiimba kwa ajili ya kumjibu Drake, ambapo i...
Omowunmi Aloba, maarufu Wunmi mke wa marehemu msanii kutoka nchini Nigeria Mohbad amekanusha kufanya vipimo vya siri vya nasaba deoxyribonucleic acid (DNA) kwa mwanaye, Liam M...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani Chris Brown amerudisha fadhila kwa mmiliki wa kampuni ya kurekodi na usambazaji muziki ya Empire, Tina Davis kwa kumpa maua yake mwanamama h...
Kocha wa Tottenham Hotspur Ange Postecoglou amesema timu yake imecheza vibaya ndiyo maana imepoteza dhidi ya Chelsea na hakuna sababu nyingine iliyochangia kichapo hicho.Spurs...
Mgahawa mmoja uliyopo Toronto nchini Canada uitwao ‘New Ho King’ umepata umaarufu na kuwa na wateja wengi baada ya ‘rapa’ Kendrick Lamar kuutaja kwenye...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewaapisha vijana mkoa huo wenye staili ya kipekee kuanzia mavazi hadi utembeaji maarufu Wadudu ili kuwa watu wema, waadilifu katika kute...