17
Mapenzi chanzo Tiwa kuingia kwenye muziki
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #TiwaSavage ameweka wazi kuwa aliingia kwenye muziki kwa sababu ya mwanaume, lakini ndoto yake ilikuwani uigizaji. Tiwa ameyasema hayo wakati...
17
Utafiti: Kuwa na dada kunakufanya uwe na afya njema
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanya na Chuo Kikuu cha Brigham Young ambao uliandikwa katika Jarida la Saikolojia ya Familia lilieleza kuwa, kuwa na Dada kunaweza kukufanya uwe na...
17
Wachezaji na shauku ya kujua hatma ya Ten Hag
Imeripotiwa kuwa baadhi ya wachezaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited bado hawajafanya maamuzi ya kusaini mikataba mipya ‘klabuni’ hapo wakisubiri kujua...
17
Mwili wa O.J. Simpson kuchomwa moto
Mwili wa aliyekuwa mwanamichezo wa zamani ambaye pia alikuwa mwigizaji kutoka nchini #Marekani O. J. Simpson utachomwa moto baada ya kukamilisha taratibu za shughuli za mazish...
17
Taylor Swift apewa heshima na instagram
Ikiwa zimebaki siku chache tuu mwanamuziki kutoka nchini Marekani Taylor Swift kuachia album yake ya mpya iitwayo ‘The Tortured Poets Department’, msanii hiyo amep...
16
Tazama nguo chakavu zinavyo badilishwa kuwa mapambo
Kuna msemo usemao kila kitu kina umuhimu wake hata kama chazamani msemo huu umejidhihirisha kutoka katika kampuni ya ‘Fab Bricks’ ambapo wamekuwa wakitumia nguo ch...
16
Man City mbioni kumsajili Rayan Ait-Nouri
Imeripotiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterCity iko mbioni kumsajili mchezaji kutoka ‘timu’ ya #WolverhamptonWanderers Rayan Ait-Nouri, hii ni baada ya &ls...
16
Utafiti: Kumshika mkono umpendaye ni njia ya kunapunguza maumivu
Kwa mujibu wa Utafiti wa Pavel Goldstein kutoka chuo kikuu cha Colorado, Boulder, unaeleza kuwa kushikana mikono na mtu unayempena na kumjali kunauwezekano mkubwa wa kupunguza...
16
Chino na Marioo wamaliza bifu lao
Baada ya kuripotiwa kuwa na bifu miezi kadhaa iliyopita, hatimaye Chino, Marioo wameonekana pamoja na kumaliza tofauti zao. Wawili hao walionekana pamoja wakitumbuiza nyimbo a...
16
Wachezaji ndiyo wamezomewa Bandarini Dar es salaam
Zikiwa zimesalia siku nne kabla ya kufanyika kwa pambano la Dabi ya Kariakoo, leo kikosi cha Simba kimeanza safari kwenda Zanzibar huku kikizomewa na mashabiki wa Yanga. Baada...
16
Mr Ibu kuzikwa mwezi wa sita
Marehemu muigizaji kutoka nchini Nigeria John Okafor (62) maarufu kama Mr Ibu anatarajiwa kuzikwa Juni 28, 2024. Taarifa hiyo imetolewa na kaka mkubwa wa Mr Ibu, Sunday Okafor...
16
Katibu Basata akumbushia ugomvi wa Diamond na Rayvanny
Mwanamuziki Rayvanny tayari amewasili nchini kutoka Kenya ambapo alienda kwenye hafla ya utolewaji tuzo za East Africa Arts Entertainment Awards 2024 (EAEA) ambapo ameondoka n...
16
Davido afunguka kutokuwa kwenye mawasiliano mazuri na Burna Boy, Wizkid
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameweka wazi kutokuwa na mawasiliano mazuri na baadhi ya wasanii wenzake ambao ni B...
15
Walker kuingia uwanjani tena
‘Kocha’ wa #ManchesterCity, #PepGuardiola amedokeza kuwa mchezaji wao #KyleWalker anaweza kurudi uwanjani kwa ajili ya mchezo wao  wa ‘ligi ya Mabingwa ...

Latest Post