Baada ya kutoa taarifa kuwa anakuja na ngoma mfululizo kupitia ukurasa wake wa Instagram na sasa ‘rapa’ Mr Blue ametangaza kufungua studio yake ya muziki iliyoipa ...
Mwanamuziki wa Marekani Madonna amejibu kesi iliyokuwa ikimkabili ya kuchelewa kuanza kwa matamasha yake.Kwa mujibu wa nyaraka kutoka Mahakamani zilizochapishwa na Tmz Madonna...
Shirikisho la kimataifa la vyama vya soka (Fifa) limesisitiza kwamba aliyekuwa kinara wa mabao kwenye fainali za Afcon 2023, Emilio Nsue, hakupaswa kuichezea timu ya taifa ya ...
Mwanamuziki wa Marekani Sean Kingston siku ya jana Juni 4,2024 alisimamishwa kizimbani kutokana na tuhuma zinazomkabili za kuiba vitu vyenye thamani ya dola 1 milioni ikiwa ni...
Baada ya mwigizaji kutoka Ireland, Cillian Murphy kukataa ofa kutoka kwa Margot Robbie ya kurudi kwenye filamu ‘Peaky Blinders’ akiigiza kama Tommy Shelby hatimaye...
Mwanamuziki nchini Nigeria Rude Boy, ametoa ushauri kwa wazazi mwenye watoto wa kike wanaoamini kuwa mwanaume ndiye mwenye jukumu la kughalamikia maisha ya mabinti wakati wote...
Mchekeshaji Eric Omondi anashikiliwa na maafisa wa usalama nchini Kenya, kwa kuongoza maandamano nje ya Jengo la Bunge.Omondi alikamatwa baada ya kuongoza Mama wauza mboga kat...
Baada ya kuachiwa kwa orodha ya wanasoka wanaolipwa zaidi, fahamu kuwa wapo nyota wengine wa michezo ambao wanaogoza kuwa na wafuasi wengi kwenye mtandao wa Instagram.Orodha h...
Vipo vitu vingi ambavyo vimekuwa vikitumia kwenye jamii na kuleta manufaa bila ya watumiaji kufahamu ni nani aliumiza kichwa kubuni vitu hivyo.Kutokana na hilo mfahamu raia wa...
Mwanamuziki wa Africa Kusini, Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameendelea kufanya vizuri kupitia ngoma zake, hii ni baada ya albumu yake...
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kutumia Pauni 60 milioni kwenye usajili wa straika wa Wolves, Matheus Cunha huku ikiweka mipango yake sawa kumnyakua pia staa...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Mr Blue ameweka wazi kuwa umefika muda wa kuachia kazi mfululizo kwa mashabiki wake, huku akiwataka wachague aina gani muziki aanze nao kati ya h...
Kwa kawaida kicharazio maarufu ‘keyboard’ za simu janja ama kompyuta huwa na mpangilio usiofuata mtiririko, yaani haianzii A-Z badala yake herufi zimechanganyika.K...
Hussein Abdala maarufu Mauzinde (30), mkazi wa Rahaleo Mkoa wa Mjini Magharibi, amekatwa masikio yote mawili na watu wasiojulikana kisha wakamtelekeza msituni.Inadaiwa kuwa tu...