Mbwa wa mwigizaji Daryl Dixon's aitwaye ‘Seven’ aliyeonekana katika filamu ya zombie ya ‘The Walking Dead’ amefariki dunia siku ya jana Alhamisi Mei 13...
Mwanamuziki wa Marekani Billie Eilish ameweka wazi kuwa hajawahi kuachwa wala kuumizwa kwenye mapenzi, badala yeye ndiye huwa wa kwanza kutaka kuachana.Eilish ameyasema hayo w...
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...
Mwaka 2023, sekta ya sanaa na burudani iliongoza kwa kuwa na ukuaji wa asilimia 17.7.
Hayo yamo katika taarifa ya hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2023 iliyowasilishwa bungen...
Serikali imeweka wazi kuwa inampango wa kukuza ajira kwa vijana katika sekta ya michezo, sanaa na burudani.
Hayo yamesemwa leo Alhamisi Juni 13, 2024 na Waziri wa Fedha, Dk Mw...
Kuelekea michuano ya Euro inayotarajiwa kuanza kupigwa kesho nchini Ujerunani mashabiki wamepigwa marufuku ya kuingia na baadhi ya vitu viwanjani, kama vinywaji, vyakula, matu...
Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuanzia msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, viwanja vitakavyotumika kwa michuano hiyo vitafungwa teknolojia inayomsaidia mwamuzi kufanya m...
Waswahili husema kuishi kwingi, kuona mengi, pasi na shaka kauli hii inaendana na maajabu ya mti unaotiririsha maji.
Wengi wamezoea kuona miti ikipandwa, ikikua, ikikauka na m...
Kocha wa klabu ya #BayernMunich, #VincentKompany anaisaka saini ya beki wa klabu ya #Liverpool, #JoeGomez ili awe mmoja wa wachezaji wake wa kwanza kusajiliwa katika kikosi ch...
Mwanamuziki wa Nigeria, Ruger amefunguka mtazamo wake kuhusu mahusiano kwa kudai kuwa anaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja.
Ruger ameyasema hay...
Wanamuziki wa Bongo Fleva nchini Mbosso na Yammi wamejifananisha kama waigizaji kutoka nchini India Shah Rukh Khan na Kajol, hii ni baada ya kuachia video wakiwa chooni.
Kupit...
Baada ya kuwepo kwa tetesi za mwanamuziki #JenniferLopezi na mumewe #BenAffeck kutengana na kuuza nyumba yao waliyokuwa wakiishi, hatimaye wawili hao wamekutana tena katika ma...
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema.
Wawili hao wam...