Na Aisha Lungato
Moja ya biashara ambayo inalipa sana siku hizi na inafanywa na vijana wengi wa kiume nyakati za usiku ni uuzaji wa chakula haswa pilau.
Waswahili wanas...
Na Glorian Sulle
Moja ya tatizo ambalo limekuwa likiwachanganya wengi haswa mabinti ni muonekano wa kichwani, yaani atatokelezea vipi akienda kazini wiki nzima.
Kutokana na hi...
Baada ya mwanamuziki KanyeWest na mkewe Bianca Censori kutokuwa kwenye maelewano mazuri kwa hivi karibuni, marafiki wa mwanamke huyo wanadai kuwa Kanye anamchukulia mkwewe kam...
‘Klabu’ ya #RealMadrid imekataa ofa kwa ‘klabu’ zinazomuhitaji mchezaji wao Arda Guler, wakisisitiza kuwa bado wanamatumizi naye hivyo hataruhusiwa kuo...
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni.
Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
Nyota wa soka wa Ufaransa Kylian Mbappé amepewa chumba cha faragha katika kituo cha mazoezi cha Real Madrid kufuatia uhamisho wake kutoka Paris Saint-Germain.Jengo hilo...
Ukweli ni kwamba sayansi na teknolojia imekuza sekta nyingi kama vile biashara , elimu na nyingineze.Kwenye ulimwengu wa sasa wapo baadhi ya watu ambao wamekuwa wakijifunza vi...
Shirika la Utangazaji la Munhwa (MBC) nchini Korea limezindua teknolojia mpya itakayo saidia familia kukutana tena na watu wao wa karibu waliyofariki dunia.Ili kutilia maanani...
Mcharazaji gitaa maarufu nchini aliyewahi kuzipigia bendi mbalimbali ndani na nje ya nchi, ikiwemo Extra Bongo '3x3', Ismail Kwembe a.k.a Bonzo Kwembe, amefariki dunia leo.Aki...
Imefahamika kuwa ‘klabu’ za Arsenal na Manchester United zipo katika vita kali ya kumwania mshambuliaji wa mabingwa wa ‘soka’ nchini Hispania, Real Mad...
Baada ya pambano la mabondia wa ngumi za kulipwa nchini Marekani Mike Tyson na Jake Paul kughairishwa kufuatia na tatizo la kiafya alilokuwa nalo Tyson, sasa imepangwa tarehe ...
Shule ya ‘Vernon Center Middle School’ iliyopo jijini Manchester imekubali kulipa fidia ya dola 100,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 263 milioni baada ya mwanafunzi wa shu...
Mwigizaji wa Marekani Tiffany Haddish amewaacha hoi mashabiki baada ya kuweka wazi kuwa aliwahi kumuomba mkali wa Titanic Leonardo DiCaprio kuwa naye kimapenzi.Tiffany ameyase...