26
Kehlani adai kukosa ‘madili’ kisa Palestina
Mwanamuziki kutoka Marekani, Ashley Parrish, ‘Kehlani’, ameweka wazi kuwa alipata hasara kwa kupoteza fursa za mikataba baada ya kutoa msaada kwa watu wa Palestina...
26
Diamond ageukia kwenye fashion
Wakati Diamond Platnumz akiendelea kusherehekea mafanikio ya ngoma yake ya ‘Komasava’ Duniani, msanii huyo kuna namna kama amegeukia kwenye ulimwengu wa fashion hi...
26
Simi aungana na Wakenya, Aumizwa na waliopoteza maisha
Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, #Simi, ametoa sauti yake katika maandamano ya kupinga ongezeko la kodi yanayoendelea nchini Kenya ambapo amedai kuwa inahuzunisha watu kupo...
26
Mwamuzi adondoka uwanjani, Sababu joto kali
Katika michuano ya Copa America inayoendelea nchini Marekani, imeripotiwa kuwa mwamuzi msaidizi #HumbertoPanjoj aliyekuwa akichezea ‘mechi’ ya Peru na Canada amedo...
26
Baadhi ya Mastaa wakike Bongo wafurahishwa na uvumilivu wa Chioma
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Davido kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Chioma siku ya jana Jumanne Juni 25, mastaa wakike mbalimbali kutoka Bongo wamempongeza Ch...
26
Elon Musk ahudhuria harusi ya Ex wake
Mmiliki wa mtandao wa X (zamani Twitter) na mfanyabiashara Elon Musk ameripotiwa kuwa na maelewano mazuri na aliyekuwa mke wake Talulah Riley hii ni baada ya kuonekana kwenye ...
26
Ngoma ya ‘Not like Us’ ya Lamar inastahili kuwania Grammy
Mkurugenzi Mtendaji wa tuzo maarufu Marekani za Grammy,  Harvey Mason Jr ameweka wazi kuwa wimbo wa ‘Rapa’ Kendri...
26
Lupita Nyong o aunga mkono maandamano Kenya
Mwigizaji kutoka Marekani mwenye asili ya Kenya Lupita Nyongo amelipongeza kundi la vijana la ‘Gen Z’ na wananchi wote nchini humo kwa kuchukua uamuzi wa kuandaman...
25
Meneja akanusha taarifa ya bondia Deontay Wilder kustaafu
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu. Wilder al...
25
Taylor Swift ameza mdudu, Ashindwa kuendelea na show
Mwanamuziki wa Marekani #TaylorSwift amedaiwa kumeza mdudu na kushindwa kuendelea na show katika ziara yake ya dunia ya Eras iliyofanyika jijini London nchini Uingereza. Kwa m...
25
Ajiziba uso ili aache kuvuta sigara
Kuacha sigara ni mchakato ambao baadhi ya watumiaji wamekuwa wakigonga mwamba kila uchwao, lakini kwa Ibrahim Yücel kutoka Uturuki ilikuwa rahisi baada ya kutengeneza kof...
25
Nandy asimulia safari yake ya muziki, Amtaja Zuchu
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Nandy, amesimulia harakati zake za kupambania ndoto zake za kuwa msanii maarufu huku akidai kuwa kuna msanii kutoka kundi la THT alikuwa akimbania....
25
Wizkid: Sasa nampenda mungu, Sina chuki na mtu
Baada ya bifu la mwanamuziki Wizkid na Davido kulindima kwa wiki kadha, hatimaye Wizkid amedai kuwa kwa sasa anampenda Mungu na hana chuki na mtu yeyote. Wizkid ameyasema hayo...
25
Will Smith kukiwasha tuzo za Bet
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET. Katika taarifa iliyoto...

Latest Post