18
Ben afunguka kinachokwamisha Bongo movie, Amtaja Kanumba
Na Aisha Charles Waswahili husema vya kurithi vinazidi, hivi ndivyo naweza kumuelezea mwigizaji wa Bongo movie Abduli Ahmadi Salumu maarufu kama Ben au Selengo, ambaye naweza ...
18
Ayra uso kwa uso na Rihanna
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria Ayra Starr amekutana na msanii mwenzake Rihanna, usiku wa kuamkia leo katika onyesho la Fenty X Puma lililofanyika jijini #London. Wawili ha...
18
Billnass amkaribisha Marioo kwenye chama
Baada ya jinsia ya mtoto wa Marioo na Paula kutambulika mwanamuziki wa Bongo Fleva  Billnass amemkaribisha marioo kwenye chama cha wazazi. Kupitia ukurasa wake wa Instagr...
18
Ludacris akumbuka mchango wa Busta
Rapa kutoka nchini Marekani, Ludacris ametoa shukrani kwa #BustaRhymes kwani ndiyo mtu pekee aliyefanikisha atoke kimuziki. Kwa mujibu wa Daily Post News Luda ameweka wazi kuw...
18
Beyonce ampongeza kocha Dawn
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani #Beyonce amempongeza ‘kocha’ wa mpira wa kikapu #DawnStaley kwa kumpa maua baada ya ushindi wake mpya wa kuwa ‘kocha&rsquo...
18
Barcelona yamnyatia Dani Olmo
Uongozi wa #Barcelona tayari umeanza kufanya mazungumzo na ‘klabu’ ya #RBLeipzig kwa ajili ya kumchukua mchezaji wa ‘timu’ hiyo #DaniOlmo. Kiungo huyo ...
18
Aingia na maiti benki ili apate mkopo
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
18
Davido kama Drake
Mkali wa Afrobeat kutoka nchini Nigeria Davido ameamua kufuata nyayo za ‘rapa’ Drake baada ya kumlipia mwanafunzi mkopo wa shule. Mwanafunzi huyo alinyanyua bango ...
18
Kanye kuchunguzwa na Polisi
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
18
Kajala akubali yaishe, Aomba radhi kwa mzazi mwenziye Majani
Mwigizaji Kajala Masanja amemuomba radhi mzazi mwenziye Paul Matthysse maarufu kwa jina la 'P Funk Majani' kutokana na migogoro waliyokuwa wakipitia kwa muda mrefu. Kajala ame...
18
Man City na Arsenal waachwa kwenye mataa
‘Ligi’ kuu #Uingereza haitakuwa na ‘timu’ kwenye hatua ya nusu fainali za ‘ligi’ ya mabingwa #Ulaya baada ya ‘klabu’ kubwa mbil...
17
Ten Hag akiondoka Sancho anarudi United
Mchezaji wa zamani wa ‘klabu’ ya Manchester United, Jadon Sancho ambaye kwasasa anakipiga Borussia Dortmund ameripotiwa kueleza kuwa yupo tayari kurudi Man United ...
17
Wazazi wa AKA wagoma mtoto wao kuandikwa kitabu
Wakati Melinda Ferguson akijiandaa kuandika kitabu kitakachozungumzia maisha ya mahusiano kati ya AKA na aliyekuwa mpenzi wake Anele, familia ya marehemu AKA, Tony na Lynn For...
17
Busu la Bieber kwa Jaden Smith lazua gumzo
Ikiwa zimepita siku chache tangu tamasha la muziki la Coachella kufanyika, limezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii, baada ya mwanamuziki Justin Bieber kuonekana akimbusu Jade...

Latest Post