Mwanamuziki kutoka Marekani Chris Brown bado ameendelea kuonesha mapenzi yake kwenye ngoma za wasanii wa Afrika na sasa ameonekana akicheza ‘Komasava’ ya Diamond a...
Kinda wa Uturuki Arda Guler amevunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye ‘mechi’ yake ya kwanza kwenye mikikiki...
Mume wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Simi, #AdekunleGold amefunguka kuwa na ugonjwa wa Sickle Cell ambapo ameweka wazi kuwa umekuwa ukimsumbua kwa muda mrefu.
Tovuti ya ...
Mtandao wa #Spotify umetangaza wimbo wa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria #Davido ‘Champion Sound’ aliyomshirikisha msanii kutoka Afrika Kusini #Focali...
Mwanamuziki kutoka Marekani Usher Raymond ameweka wazi kuwa kila ifikapo siku ya Jumatano huwa hali chakula chochote zaidi ya kunywa maji.
Usher ameyasema hayo wakati alipokuw...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
Bondia wa ngumi za uzito duniani (Heavy Weight), Deontay Wilder ameporomoka kwenye viwango vya ubora kwenye mchezo huo, huku Tyson Fury akimpisha Oleksandr Usyk namba moja.
Wi...
Mkali wa afrobeat kutoka Nigeria, Burna Boy amedai kuwa ngoma yake ijayo ndio itakuwa ngoma bora kushinda ngoma zote zilizotoka mwaka huu.
Mwanamuziki huyo ameyasema hayo kwen...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na Mwigizaji wa Marekani Jason Momoa na Adria Arjona wanatoka kimapenzi, hatimaye Momoa amethibitisha tetesi hizo.
Momoa amethibitisha kutoka ...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani Justin Timberlake ameripotiwa kukamatwa na polisi baada ya kukutwa anaendesha gari akiwa amelewa.
Kwa mujibu wa ABC News, ilieleza kuwa af...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani, #FatJoe amedai kuwa #ChrisBrown asingejiingiza kwenye mapenzi angekuwa kwenye kiwango sawa na marehemu #MichaelJackson.
Joe ...
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Saido Ntibanzokiza amepewa mkono wa kwaheri baada ya kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa misimu miwili.
Saido ameondoka Simba akiwa ndiye kin...